Alhamisi, 09 Rajab 1446 | 2025/01/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / India Bara dogo la India: Kampeni kubwa ya kukumbuka kuanza kwa Vita vya Dunia vya Kwanza na kuvunjwa kwa Khilafah

Hizb ut Tahrir ndani ya Bara dogo la India imeandaa ndani ya siku zijazo kampeni kubwa ya kukumbuka kuanza kwa Vita vya Dunia vya Kwanza ambavyo mwisho wake kulipelekea kuvunjwa kwa Khilafah na kuvunjwa kwa nguzo za Dola ya Kiislamu ambayo ilikuwa imeasisiwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kwa kutumia wasaliti baadhi katika Waarabu waliowakilishwa na khaini Hussein bin Ali na watoto wake na Waturuki wakiwakilishwa na muhalifu wa karne, aliyefariki Mustafa Kamal.

Soma zaidi...

Australia: Kalima mbele ya Ubalozi wa Serikali ya Jordan ya Kutaka Kuachiliwa Huru Ndugu Ismail al Wahwah

Kama sehemu ya mfululizo wa amali ambazo Hizb ut Tahrir nchini Australia iliandaa kumuunga mkono ndugu Ismail al Wahwah (Abu Anas), Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir nchini Australia, ambaye amewekwa kizuizini na huduma za usalama za serikali ya Jordan alipo wasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Malkia Alia mnamo Jumatano 25/7/2018.

Soma zaidi...

Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: #WaacheniHuruDadaZetu #MwacheniHuruDadaRomana #MwacheniHuruDktRoshan

Watawala waovu wa Pakistan wanaendelea kuwalazimisha vibaraka wa Amerika nchini Pakistan na kuwalazimisha juu ya shingo za Waislamu, hususan wanachama na wafuasi wa Hizb ut Tahrir, sasa imechukua hatua kakamavu zaidi katika mbinu zao ovu kuteka nyara wanawake!

Soma zaidi...

Ujumbe kwenda kwa Ubalozi wa Pakistan Kuunga Mkono Kina dada Waliotekwa Nyara

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ubelgiji ulikwenda katika Ubalozi wa serikali ya Pakistan uliopo jijini Brussel na kumkabidhi katibu wa pili taarifa mbili kwa vyombo vya habari zilizo tolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan kuhusu kutekwa nyara kwa dada Romana na dada Dkt. Roshan.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu