Uzbekistan: Mahabusu wa Hizb ut Tahrir katika magereza ya Madhalimu wa Uzbek - 2017
- Imepeperushwa katika Uzbekistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mahabusu wa Hizb ut Tahrir katika magereza ya Madhalimu wa Uzbek - 2017
Mahabusu wa Hizb ut Tahrir katika magereza ya Madhalimu wa Uzbek - 2017
Hizb ut Tahrir Ubelgiji iliandaa mjumuiko kwa anwani “Inueni Sauti zenu kwa ajili ya Allepo!” Ndugu zetu walijadili yale ambayo mapinduzi nchini Syria yameyafikia hususan mji unao shambuliwa wa Aleppo, na yapi ambayo Ummah wa Kiislamu wanapaswa kufanya kwa ajili ya ushindi wa watu wetu huko.
Mkutano huo ulianza kwa kusomwa aya za Qur’an Tukufu. Mada ya kwanza iliyo wasilishwa iligusia Umoja wa Waislamu. Muhadhara huo ulikuwa kuhusu Itikadi na kuwayeyusha watu na mataifa ndani ya chungu kimoja.
Hotuba iliyotolewa na Kitengo cha Habari cha Hizb ut Tahrir ndani ya Wilayah ya Kuwait kuhusiana na uchaguzi wa 2016 wa Baraza la Kitaifa la Kuwait na hukumu ya Kiislamu kuhusiana na unaoitwa (mchakato wa kidemokrasia).
Kampeni ya Katiba katika Chuo Kikuu cha Ein Shams
Kampeni katika Msikiti wa al-Noor ulipo al-Abbasiyya / Cairo
KUPIGWA MARUFUKU NIQAB UFARANSA
Utangulizi wa Katiba ya Khilafah
Kampeni katika Msikiti wa al-Fat’h jijini Cairo
Ujumbe wa Islam Abu Khalil wa Kuwaunga Mkono Waislamu Nchini Uzbekistan