Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Amerika:

Visimamo cha Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo ilisababisha vifo na majeraha kwa Waislamu zaidi ya elfu 22 hadi mpaka kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Amerika iliandaa visimamo mbele ya ubalozi wa Misri na Ubalozi wa Uturuki katika mji wa Chicago, na kuyataka majeshi kutaharaki kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi katili.

Jumatatu, 08 Rabi' Al-Akhir 1445 H - 23 Oktoba 2023 M

- Sehemu ya Amali za Visimamo vya Halaiki –

- Ujumbe kutoka Mbele ya Ubalozi wa Misri jijini Chicago -

- Ujumbe kutoka Mbele ya Ubalozi wa Uturuki jijini Chicago -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Amerika:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu