Jumatano, 16 Safar 1446 | 2024/08/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika:

Kisimamo cha Los Angeles Kilichoyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu ya (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi linaloendelea na mashambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na ulipuaji mabomu wa kuendelea wa Ukanda wa Gaza kwa muda wa miaka 17, Hizb ut-Tahrir/Amerika iliandaa kisimamo cha hadhara katika mji wa Los Angeles kueleza mshikamano wa Waislamu na ndugu na dada zao huko Gaza, na kuyataka majeshi ya Kiislamu kusimama na kuwalinda Waislamu katika eneo la Gaza na kufanya kazi ya kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka kwa makucha ya Mayahudi wakaliaji wa kimabavu.

Jumapili, 30 Rabi' Al-Awwal 1445 H - 15 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Amerika:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu