Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika:

Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Uturuki cha Kuyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa

Mbele ya ushujaa waliouonyesha Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kudumu kuushambuliwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika wiki mbili zilizopita kwa Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 20 elfu, Hizb ut Tahrir / Amerika iliandaa kisimamo cha halaiki mbele ya Ubalozi wa Uturuki jijini Washington, DC kikiitaka serikali ya Uturuki kupeleka jeshi lake mara moja kuwanusuru Waislamu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi katili.

Jumamosi, 06 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 21 Oktoba 2023 M

- Sehemu ya Amali ya Kisimamo cha Halaiki -

- Kalima ya Kwanza -

- Kalima ya Pili -

طوفان_الأقصى#

الجيوش_إلى_الأقصى#

الأقصى_يستصرخ_الجيوش#

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Amerika:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu