- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Denmark Kongamano la Kila Mwaka:
Uislamu baina ya Upotoshaji na Ukweli
Hizb ut Tahrir / Scandinavia iliandaa Kongamano la kila mwaka kwa anwani:
“Uislamu baina ya Upotoshaji na Ukweli”
Bila shaka Uislamu ni mojawapo ya mada zinazo jadiliwa mno ulimwenguni na uko chini ya shambulizi la kudumu.
Kuna ufahamu mwingi usio sahihi na taarifa mbaya nyingi zilizo samba kuhusu Uislamu, sasa je ukweli ni upi na upotoshaji ni upi?
Zipi ni ngano na upi ni ukweli kuhusu mitazamo, vima na sheria / hukmu za Uislamu?
Je, Uislamu umesimama juu ya imani isiyo na msingi au hoja madhubuti?
Je, Khilafah ni Udikteta wa Kidini?
Je, wanawake ni wana thamani duni kuliko wanaume?
Je, wasiokuwa Waislamu wanapaswa kuuliwa au kuhifadhiwa?
Pata majibu yaliyo wazi na kufafanuliwa vizuri kuhusu maswali haya na mengine ya mbalimbali!
Muda na Mahali
Septemba 22, 2019 M
KI. 14.30 – 17.30
Rugkærgårdsvej 60 ، 2630 Taastrup
Ukumbi wa Royal Banquet (Taj Mahal)
ALAMA ISHARA
Kwa Maelezo zaidi:
Ukurasa wa kongamano katika Facebook
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Scandinavia
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Scandinavia
Hizb ut Tahrir / Scandinavia Twitter
Nakala za Video za Kongamano
- Mada ya kwanza -
Maisha Chini ya Uislamu – Ngano au Uhalisia?
Na Ndugu Ferhat Kara
Mada ya Pili:
Sharia – Zama za Giza au Nidhamu ya Dunia?
Na Ndugu Omar Saad
-Mada ya Tatu-
Khilafah – Udikteta wa Kidini au Hukmu Sahihi?
Na Ndugu Tiam Mohibbat
-Mada ya Nne-
Wanawake katika Uislamu – Ukandamizaji au Rahma?
Na Dada Sundus Shuaib
Mada ya Tano-
Wasiokuwa Waislamu – Maadui au Washirika
Na Ndugu Dr Muhammad Malkawi (Abu Talha)
-Mada ya Sita-
Jihad – Ugaidi au Mkombozi
Na Ndugu Sam Mohibbat
Mada ya Saba-
Uislamu – Umoja au Mgawanyiko wa Wanadamu
Na Mheshimiwa Sheikh Issam Amierah (Abu Abdullah)
-Maneno ya Kufungia-
Na Ndungu Zahid Mansoor
Mahojiano baada ya Kongamano
VIDEO FUPI
Kutambulisha na Kulitangaza Kongamano
Ujumbe Na Ndugu Taim Mohibbat
Ujumbe Na Dada Sundus Shuaib
Ujumbe Na Ndugu Sam Mohibbat
Ujumbe na Ndugu Ferhat Kara