Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Indonesia: Maandamano ya Nchi Nzima Chini ya Mwito "Ikomboeni Palestina kwa Jihad na Khilafah"

Chini ya mazingira ya kambi juu ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Indonesia iliandaa maandamano katika miji anuwai kuihami Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwa wiki mbili, wiki ya pili na ya tatu ya Mwezi wa Mei 2021 M. Ambapo waliohutubia ambao ni miongoni mwa wanachuoni, viongozi wa Waislamu, wanasiasa na wanaharakati walisisitiza kuwa suluhisho la kweli kwa kadhia ya Palestina ni Jihad na Khilafah, kwa sababu tatizo msingi la Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ni uvamizi wa Mayahudi kwake, na haimkiniki kuuondoa uvamizi huu isipokuwa kwa kuchangamka majeshi ya Waislamu, na haimkiniki kuchangamka majeshi haya isipokuwa kwa kusimama Dola ya Khilafah Rashida. Na katika maandamano haya waliohutubu kwa sauti ya juu waliyataka majeshi katika biladi za Kiislamu kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutoka kwa Mayahudi wavamizi wanyakuzi  

Ijumaa, 09 Shawwal 1442 H sawia na 21 Mei 2021 M

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

الأقصى_يستصرخ_الجيوش#
#Aqsa_calls_armies
#AqsaCallsArmies
#OrdularAksaya

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu