Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Amali za Mapokezi ya Mwezi Mtukufu 1443 H

Kwa mwaliko wa Hizb ut Tahrir/Indonesia Waislamu walishiriki katika miji mingi kote Indonesia kama vile; Jakarta, Surabaya, Medan, Bandung, Kendari, Makassar, na mengineo wakiwa katika amali za kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mwaka huu wa 1443 H kwa jina (Kukaribisha Ramadhan 1443 H). Washiriki wa hafla hiyo iliyojumuisha mihadhara, mijadala na jaula za miguu, walithibitisha matumaini na unyenyekevu wao kwa Mwenyezi Mungu (swt) kwamba aujaaliye mwezi huu wa Ramadhan uwe ni mwezi wa nusra na tamkini kwa kusimamisha Uislamu kikamilifu, washiriki walipeperusha bendera za Raya na Liwaa kuashiria mapenzi na shauku yao kwa bendera ya Mtume (saw) na ipepee tena katika anga ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume hivi karibuni, Mwenyezi Mungu akipenda.

Jumatano, 12 Ramadhan Tukufu 1443 H - 13 Aprili 2022 M

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu