Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Malaysia: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Malaysia ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Sehemu ya Amali za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah katika Miji Anuwai ya Malaysia -

- Jiji la Kuala Lumpur -

- Mji wa Sandakan -

- Mji wa Jowhar -

- Mji wa Bangi -

- Miji ya: Manjung - Muar - Petaling -

- Mji wa Jowhar - Sehemu ya Amali za Kampeni "Isimamisheni Enyi Waislamu"

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

- Semina kwa Anwani "Khilafah Ndio Suluhisho Kamili kwa Matatizo ya Ummah!" -

Hizb ut-Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, kwa anwani "Khilafah Ndio Suluhisho Kamili kwa Matatizo ya Ummah!", Ambayo ndugu wawili Abdul Hakim Othman na Wan Hisham Wan Swaleh waliohutubia.

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M

- Semina kwa Anwani "Kurudi kwa Khilafah ili Ulimwengu Ukae Chini ya Kivuli Chake!" -

Hizb ut-Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, kwa anwani "Kurudi kwa Khilafah ili Ulimwengu Ukae Chini ya Kivuli Chake!", Ambayo ndugu Abdul Hakim Othman, Muadh Abu Twalha na Muhammad Amin waliohutubia.Ambapo waliamua kujibu maswali yafuatayo katika semina yao:

Je! Hakuna njia ya kutokea kutokana na dhulma zote, tabia mbaya, matumizi mabaya ya mamlaka, ufisadi, n.k., kwa tawala za leo?

Je! Hakuna njia ya kutokea kutokana na mfumo na kanuni za kikafiri ambazo zinawatesa Waislamu leo?

Je! Hakuna njia ya kutokea kutokana na ukoloni wote, mauaji, uhalifu, unyama na utawala wa Magharibi juu ya Waislamu leo?

Je! Hakuna njia ya kutokea kutokana na migawanyiko, kurudi nyuma, udhaifu na udhalilishaji yanayowasibu Waislamu leo?

Je! Hakuna njia ya kutokea kutokana na matatizo yote ambayo Waislamu wanayapata leo, iwe ndani au nje ya nchi?

Je! Hakuna taa mwishoni mwa handaki kwa Waislamu?

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

- Semina kwa Anwani "Miaka 100 Imepita Tangu Kuvunjwa kwa Khilafah, Basi Tuisimamisheni Upya!" -

Hizb ut-Tahrir / Malaysia ilifanya semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuondolewa Khilafah kwa anwani "Miaka 100 Imepita Tangu Kuvunjwa kwa Khilafah, Basi Tuisimamisheni Upya!", ambayo ndugu wawili Abdul Hakim Othman na Omar Hussain walihadhiri.

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Semina kwa Anwani "Kushikamana na Khilafah na Jukumu Letu Sote!" -

Hizb ut-Tahrir ilikuwa na ingali inafanya kazi mchana na usiku bila kuchoka au kuchoshwa ili kurudisha ngao ya Umma huu! Swali ni je, jukumu hili ni la Hizb ut-Tahrir pekee? Ni ipi dori ya kila Muislamu katika kurudisha tena jengo la taasisi hii kubwa ya kisiasa kwa Waislamu? Ni ipi dori ya wanachuoni, wasomi, polisi, jeshi, vijana na wengine katika kurudisha Dola ya Khilafah?

Kwa kuzingatia maswali haya, Hizb ut-Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni katika kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah kwa anwani "Kushikamana na Khilafah na Jukumu Letu Sote!", Ambayo Maustadh wawili Abdul Hakim Othman na Muhammad Amin walihadhiri ndani yake.

Ijumaa, 14 Rajab 1442 H sawia na 26 Februari 2021 M

Mkusanyiko wa Picha

Click to enlarge image 2021_02_27_MALAYSIA_KHLFH_CAMP_PICs_01.jpg

Click to open image!

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Malaysia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Ukurasa wa Face wa Hizb ut Tahrir / Malaysia

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

 

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu