Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Malaysia

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya 101 ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Malaysia katika mwezi wa Rajab wa 1443 H kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah tarehe 28 Rajab 1342 H.

Ijumaa, 03 Rajab 1443 H - 04 Februari 2022 M

Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Iliyotolewa na Ustadh Abdulhakim Othman

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Malaysia

Na ambayo ilitangaza ndani yake uzinduzi wa Kampeni ya Kumbukumbu ya 101 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Kwa Anwani:

"Uislamu Kamili Chini ya Kivuli cha Khilafah"

Jumatano, 01 Rajab 1443 H sawia na 02 Februari 2022 M

Bonyeza Hapa

Tegea Kongamano la Kimataifa la Mtandaoni

Jumanne, 28 Rajab 1443 H - 01 Machi 2022 M

Bonyeza Hapa ili Kwenda kwa Ukurasa wa Kongamano

2022 03 01 KHLFH 101 MLY CONFRNS Poster EN

-  Sehemu ya Maangilio Changamfu na Watu Mabarabarani na Mabustani ya Umma -

Alhamisi, 09 Rajab 2022 M sawia na 10 Februari 2022 M

Semina kwa Anwani "Wajibu wa Kuutabikisha Uislamu Kikamilifu"

Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaa semina mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya 101 ya kuvunjwa kwa Khilafah

Kwa Anwani:

"Wajibu wa Kuutabikisha Uislamu Kikamilifu"

Mzungumzaji wa Kwanza: Ustadh Muhammad Amin (Mwanachama wa Kamati ya Utendaji)

Mzungumzaji wa Pili: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Malaysia)

Ijumaa, 03 Rajab 2022 M sawia na 04 Februari 2022 M

- Semina kwa Anwani "Fahamu ya Muamalat katika Uislamu" -

Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya Khilafah kwa anwani:

"Fahamu ya Muamalat katika Uislamu"

Mzungumzaji wa Kwanza: Ustadh Abu Hafidh (Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Mzungumzaji wa Pili: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Ijumaa, 10 Rajab Tukufu 1443 H - 11 Februari 2022 M

- Semina kwa Anwani "Vyombo vya Dola katika Nidhamu ya Khilafah" -

Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya Khilafah kwa anwani:

"Vyombo vya Dola katika Nidhamu ya Khilafah"

Mzungumzaji: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Jumapili, 12 Rajab Tukufu 1443 H - 13 Februari 2022 M

- Semina kwa Anwani "Nidhamu ya Kiuchumi katika Uislamu na Utukufu Wake" -

Hizb ut tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah

Kwa anwani:

"Nidhamu ya Kiuchumi katika Uislamu na Utukufu Wake"

Mzungumzaji wa Kwanza: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Malaysia

Mzungumzaji wa Pili: Ustadh Umar Hussein (Mwanachama wa Kamati ya Utendaji ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Jumanne, 14 Rajab Tukufu 1443 H - 15 Februari 2022 M

Semina kwa Anwani "Sera ya Elimu Bora katika Dola ya Kiislamu"

Hizb ut Tahrir /Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah

Kwa anwani:

"Sera ya Elimu Bora katika Dola ya Kiislamu"

Mzungumzaji wa Kwanza: Wan Hisham Wan Swaleh (Kamati ya Utendaji)

Mzungumzaji wa Pili: Ishan Ibrahim (Mwanachama wa Kamati ya Thaqafa)

Alhamisi, 16 Rajab Tukufu 1443 H - 17 Februari 2022 M

Semina kwa Anwani "Sera ya Nje ya Khilafah kama Dola Kuu"

Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah

Kwa anwani:

"Sera ya Nje ya Khilafah kama Dola Kuu"

Mzungumzaji wa Kwanza: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Mzungumzaji wa Pili: Ustadh Umar Hussein (Mwanachama wa Kamati ya Utendaji ya Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Jumatatu, 20 Rajab Tukufu 1443 H - 21 Februari 2022 M

Semina kwa Anwani "Nidhamu ya Kuadhibu katika Uislamu - Uadilifu na Ufanisi wa Utekelezaji Wake"

Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah

Kwa anwani:

"Nidhamu ya Kuadhibu katika Uislamu - Uadilifu na Ufanisi wa Utekelezaji Wake"

Mzungumzaji wa Kwanza: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Mzungumzaji wa Pili: Ustadh Ishan Ibrahim (Mwanachama wa Kamati ya Thaqafa ya Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Jumatano, 22 Rajab Tukufu 1443 H - 23 Februari 2022 M

Semina kwa Anwani "Nidhamu za Dola ya Khilafah kwa Raia Wake Wasiokuwa Waislamu"

Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaa semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah

Kwa anwani:

"Nidhamu za Dola ya Khilafah kwa Raia Wake Wasiokuwa Waislamu"

Mzungumzaji wa Kwanza: Ustadh Muhammad Amin (Mwanachama wa Kamati ya Utendaji ya Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Mzungumzaji wa Pili: Ustadh Abdulhakim Othman (Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Malaysia)

Jumapili, 26 Rajab Tukufu 1443 H - 27 Februari 2022 M

 

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu