Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Malaysia:

Kongamano la Rajab la Khilafah la Mtandaoni 1443 H

Islam Kaffah Unaweza Kupatikana Chini ya Khilafah Pekee

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee" ili kuwaelimisha Waislamu kuhusu umuhimu na utukufu wa kusimamishwa kwa Uislamu na utabikishwaji wake kamili chini ya Dola ya Khilafah Rashida. Hizb ut Tahrir / Malaysia inaandaa kongamano la kimataifa la mtandaoni kwa anwani:

“Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"

Hotuba kumi na moja zitawasilishwa na wanachama waheshimiwa wa Hizb ut Tahrir kutoka Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina, Australia, Uturuki, Kenya, Uingereza, Sudan, Indonesia na Malaysia.

Jumanne, 28 Rajab 1443 H - 01 Machi 2022 M

Video Fupi ya Kongamano la Kimataifa

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali ya Kongamano -

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Malaysia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Malaysia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Malaysia

Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu