Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Kampeni, "Khilafah Inakomboa Kashmir"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inafanya kampeni ya mitandao ya kijamii kuhusu Kashmir Iliyokaliwa kwa anwani, "Khilafah Inakomboa Kashmir." Inakamilika kwa Kampeni ya Twitter mnamo Ijumaa 5 Februari 2021, saa nne usiku PST inshaaAllah.

Inatoa wito kwa majeshi ya Pakistan kuipa Hizb ut Tahrir Nussrah yao ili waweze kuongozwa na Khaleefah Rashid katika vita vya kuikomboa Kashmir.

#KhilafahLiberatesKashmir

Jumatano, 21 Jumada al Akhr 1442 H - 03 Februari 2021 M

Mkusanyiko wa Picha

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu