Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Kampeni “Uongozi wa Kiulimwengu wa Khilafah uko Tayari”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imezindua kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa "Uongozi wa Kiulimwengu wa Khilafah uko Tayari". Kampeni hiyo imetoa silsila ya video zenye ujumbe kwa Waislamu nchini Pakistan kutoka kwa idadi ya wawakilishi wa hizb kote duniani, ikiweka wazi kwamba Hizb ut Tahrir haijafanya tu maandalizi kamili ya utawala wa Uislamu pekee, lakini pia ina uwepo wa kimataifa unaohitajika kuunganisha Nchi za Kiislamu chini ya kivuli cha dola moja pana na yenye nguvu.

Ewe Mola turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa njia ya Utume... Allahumma amin.

Ijumaa, 03 Rabi’ ul-Akhir 1444 H – 28 Oktoba 2022 M

- Alama Ishara za Kampeni –

#Time4Khilafah

#Nussrah4Khilafah

#UnificationViaKhilafah

#KhilafahSilencesBlasphemy

#EndDemocracyRestoreKhilafah

- Baadhi ya Video za Kampeni -

Kalima ya Mhandisi Salah El-Din Adada (Abu Muhammad) Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

- Kwa lugha ya Kiarabu -

- Kwa lugha ya Kiingereza -

Kalima ya Ustadh Yahya Nisbet

Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Kalima ya Mwadhama Sheikh Essam Amira (Abu Abdullah)

Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kalima ya Dkt. Mohamed Ismail Yusanto

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Indonesia

Kalima ya Ustadh Mahmoud Kar

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu