Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Mujtamaa ni kama Nguvu ya Mvuto wa Ardhi!

Mujtama ni kama nguvu ya mvuto wa ardhi; Inatuvuta kuelekea kwake, kupitia biashara zetu, kazi, wenzi, watoto, mitaa na jamii. Tutaanguka, na kuanguka kwa nguvu, isipokuwa tukijivuta juu kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu ﷻ. Majumba yetu na yawe ni mfano wa Dar ul Arqam, kiota cha Maswahaba (ra) wa Mtume ﷺ.  Misimamo yetu ya umma kwa mujtamaa na iwe ile ya Mtume ﷺ mikakamavu yenye kulingania Haki, huku tukikemea maovu kwa uwazi. Sunnah ya Mtume ndio njia pekee ya kupata Nasr (ushindi) wa Mwenyezi Mungu ﷻ. Twaomba sote tuone kuregea kwa Khilafah kwa Njia ya Utume hivi karibuni.

#Time4Khilafah

Alhamisi, 19 Jumadal-Akhir 1444 H - 12 Januari 2023 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu