Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir Pakistan:

Kampeni "Katika Kumbukumbu ya Miaka 11 tangu Kutekwa nyara Kwake...Mwacheni Huru Naveed Butt!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan ilizindua kampeni kwenye mitandao ya kijamii kwa kichwa "Katika kumbukumbu ya miaka 11 ya kutekwa nyara kwake.. Mwacheni Huru Naveed Butt!", ili kutia shinikizo kwa utawala dhalimu wa Pakistan ambao vyombo vyao vya siri vilimteka nyara miaka 11 iliyopita, Mhandisi Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan, mbele ya watoto wake na majirani zake, kwa kutangaza kwake haki na kuwataka Waislamu watekeleze wajibu wao na kumchagua Khalifa muongofu anayewatawala kwa mujibu wa Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah za Mtume wake, rehma na amani zimshukie.

Ewe Mola turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa njia ya Utume... Allahumma Amin.

Ijumaa, 15 Shawwal 1444 H, sawia na 05 Mei 2023 M

21 Shawwal 1444 H - 11 Mei 2023 M

- Video za Kampeni -

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake - anajibu swali:

Ni Uislamu upi utakaotabikishwa?!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anatangaza kwa sauti:

Wakati umewadia sasa wa kubadilisha mfumo na kuuweka mfumo wa Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anatangaza kwa sauti:

Ni mfumo wa Khilafah Rashida Pekee ndio wenye Uwezo wa Kukomesha Uingiliaji Kati wa Marekani!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anajibu swali:

Je, Khilafah itafanya Nini mara tu baada ya Kuasisiwa?!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anazungumza kinaganaga:

Utabikishaji Kivipande wa Uislamu!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anazungumza kuhusu:

Kupigwa Marufuku Hizb ut Tahrir!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anazungumza kuhusu:

Kulisafisha Jeshi kutokana na Wanamgambo wa Kiislamu!

Mhandisi Naveed Butt - Mwenyezi Mungu amtoe mateka yake – Anazungumza kuhusu:

Uongozi Tunaouhitaji hivi Leo!

Ili kutazama kampeni iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya kunusuru kadhia ya mhandisi Naveed Butt, Mwenyezi Mungu ampe nafuu na amrudishe salama kwetu

Bonyeza Hapa

- Alama Ishara za Kampeni -

#FreeNaveedButt_AdvocateOfKhilafah

#خلافت_کے_داعی_نویدبٹ_کو_رہا_کرو

#أطلقوا_سراح_نفيد_بوت_الداعي_للخلافة

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan


Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu