Jumatano, 23 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: 

Suluhisho la Tatizo la Umeme wa Bei Ghali ni Kuitangaza Sekta Hii kuwa Chini ya Umiliki wa Umma!

Licha ya kuongezeka kwa ushuru mara kwa mara, deni la mzunguko la sekta ya umeme linaongezeka, huku serikali pia inachukua hatua za kuregesha malipo ya umeme kupitia malipo ya kudumu katika bili. Mfumo wa kibepari haulindi maslahi ya watu bali maslahi ya mabepari wachache. Tatizo ni kuikabidhi sekta ya umeme kwa sekta binafsi na zaidi, ni mikataba ya kikatili ambayo inawaruhusu wamiliki wa mitambo ya umeme kupata faida. Uislamu umeitangaza sekta ya umeme kuwa ni mali ya umma kwa sababu Mtume Muhammad ﷺ amesema, المسلمون شركاء في ثلاث: في الماء والكلأ والنار “Waislamu ni washirika katika vitu vitatu: maji, malisho na moto (nishati)” [Ahmad]. Khilafah iliyosimamishwa kwa njia ya Utume itatoa umeme wa bei nafuu kwa watu kwa kuifanya sekta ya umeme kumilikiwa na umma.

#Time4Khilafah

Alhamisi, 12 Sha’aban 1445 H - 22 Februari 2024 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu