Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan:

Maandamano Dhidi ya Ziara ya Waziri wa Kigeni Nchini Sudan.

Hizb ut Tahrir / Wilaya Sudan iliandaa maandamano siku ya Jumanne, 06 Muharram 1442 H - 25 August 2020 M kupinga ziara ya Waziri wa Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo. Lengo la maandamano lilikuwa kuchukua msimamo wa kisheria kupinga uhalalishaji mahusiano na umbile la Kiyahudi na kudhihirisha uhalifu wa makafiri wa kikoloni pamoja na watawala wao dhidi ya Ummah wa Kiislamu.

Mabango yenye kauli mbiu mbalimbali yaliinuliwa kupinga ziara ya Waziri wa Kigeni wa Marekani yenye kuelezea lengo la maandamano hayo. Ustadh Muhammad Jami’ (Abu Ayman), Msaidizi wa Msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilaya Sudan, alitoa hotuba kufafanua madhumuni ya maandamano hayo. Katika hotuba yake alitaja kwamba bila ya kuwepo kwa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume utekelezaji wa Uislamu utapotea na wakoloni watautawala Ummah huu.

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilaya Sudan

[Video za Kisimamo]

- Upande wa Amali ya Kisimamo -

- Kalima ya Ustadh Ahmad Abkar -

- Kalima ya Ustadh Abdulqadir Abdurahman -

- Kalima ya Ustadh Muhammad Jameh -

- Kalima ya Ustadh Fadhlullah Ali -

- Kalima ya Ustadh Abdullah Abdurahman -

Mkusanyiko wa Picha

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 01 Septemba 2020 09:42

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu