Jumatano, 23 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan:

Uislamu huleta Amani na Furaha

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan katika eneo la Omdurman mnamo siku ya Jumanne, Novemba 19, 2019 katika Soko la Libya Sabrine iliandaa hotuba ya kila wiki ambayo imekuwa ikifanyika ambapo wiki hii ilikuja kwa anwani, “Uislamu ni Njia ya Maisha”. Ustaadh Abdul Raheem Abdullah, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, alihutubia umati na kuonesha kwamba Uislamu lazima utawalishwe na Khilafah ndiyo njia ya kutekeleza tendo hili.

Mzungumzaji alihitimisha kwa kuishukuru hadhira kwa usikivu na akawa na matumaini kwamba mkutano utakaofuatia watahudhuria pia.

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

katika Wilaya Sudan

Mkusanyiko wa Picha

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 01 Septemba 2020 12:02

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu