Kuhusu Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini
Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa visimamo viwili vya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), kupinga vita vya kimsalaba vilivyoongozwa na Ufaransa dhidi ya Uislamu,
Kalima ya Ustadh Nijmadeen Chaiben, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia Kuhusu Makubaliano ya Khiyana ya Kijeshi Baina ya Tunisia na Amerika.
Kabla ya kikao cha majadiliano kilichoandaliwa na jarida la Al-Tahrir mnamo Alhamisi 01 Oktoba 2020 saa kumi jioni katika makao makuu ya Hizb ut-Tahrir yaliyo katika makutano ya Soukra-Ariana chini ya anwani:
Wilayah Tunisia: Kongamano la Khilafah 2020 "Mwisho wa Demokrasia… Twaapa kwa Mwenyezi Mungu Hamuna Chengine Isipokuwa Uislamu na Khilafah
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano wa waandishi habari mnamo Alhamisi asubuhi, Julai 2, 2020 kwa anwani "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga." Mkutano huu wa waandishi habari ulifanywa katika makao yake makuu yaliyoko makutano ya Sakra-Ariana katika mji mkuu.
Alhamisi, 2 Julai 2020, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano wa waandishi habari kwa anwani "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga" katika makao yake makuu yaliyoko katika makutano ya Sakra-Ariana katika mji mkuu.
Kalima ya Ustadh Tariq Raafi' mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia mbele ya Msikiti wa Swahaba Mtukufu Abu Lababah al-Answari Kuhusu Mipangalio ya Wizara ya Masuala ya Kidini nchini Tunisia iliyo lazimishwa juu ya Nyumba za Mwenyezi Mungu ambapo alielezea kuwa Swala ya Jamaa ni miongoni mwa nembo zilizo fungwa kisheria zisizo badilika.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia imeitaka idhaa ya Mosaïque FM haki ya kujibu taarifa za mwanahabari Ziyad Kreishan na ambaye amemtaja kila anaye tabanni fikra ya (halali na haramu) kuwa na msimamo mkali na hilo ni kupitia kipindi "Media Show" kwenye matangazo ya idhaa ya Mosaïque FM.
Wilaya Tunisia: Kisimamo katika Mji Mkuu wa Tunisia Kukemea Kufungwa kwa Misikiti!