Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: “Kumbukumbu ya Hijra ya Mtume (saw)… Hadi Umma wa Kiislamu Utakapoanzisha tena Uongozi wa Dunia.”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Asubuhi ya Jumamosi, Julai 22, 2023 M, Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia itafanya kongamano kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Hijra ya Mtume.