Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Marekani “Niko hapa kama Muislamu!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 33,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa amali mbele ya Ubalozi wa Marekani jijini Ankara chini ya kichwa:

“Niko hapa kama Muislamu… Mfurusheni Myahudi Bliken!”

Ili kutia shinikizo kwa serikali ya Uturuki kutompokea mhalifu Blinken, ambaye alitangaza wazi mchana peupe kwamba analiunga mkono umbile kikatili, halifu, na nyakuzi la Kiyahudi ambalo limeua wanawake na watoto, sio kwa sababu yeye ni Waziri mhalifu wa Marekani, lakini kwa sababu Yeye ni Myahudi, mwana wa Myahudi. Yeye ni mhalifu wa kivita ambaye uhalifu wake hautofautiani na uhalifu wa umbile nyakuzi la Kiyahudi.

Katika kisimamo hicho, tuliyataka majeshi ya Waislamu yachukue hatua za haraka kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Simameni pamoja nasi leo ili kuvuna thawabu na Mwenyezi Mungu atatupa ushindi, hata kama ni baada ya muda.

Jumapili, 21 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 5 Novemba 2023 M

Upeperushaji wa Moja kwa Moja wa Amali Hiyo

#طوفان_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

#Aqsa_calls_armies

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu