Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali ya Matembezi: “Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 23 elfu hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali pana Chini ya kichwa:

“Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”

Kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na wote Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwa makucha ya Mayahudi wanyakuzi katili.

Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki thawabu, na Mwenyezi Mungu atutunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Ijumaa, 12 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 27 Oktoba 2023 M

- Matembezo na Amali ya Jiji la Ankara -

- Matembezo na Amali ya Jiji la Istanbul -

Alama Ishara za Amali

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu