Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali "Viongozi 57 Hawawezi Kusimama Nafasi ya Khalifah Mmoja!"

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 40 wa Kiislamu mpaka kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa visimamo vya usomaji taarifa kwa vyombo vya habari yenye kichwa:

"Viongozi 57 Hawawezi Kusimama Nafasi ya Khalifah Mmoja!"

Kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Ijumaa, 03 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 17 Novemba 2023 M

Sehemu ya Amali na Visimamo

Alama Ishara za Amali Hizi

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu