Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Msururu wa Makongamano na Amali Pana za Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina!

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 68 wa Kiislamu mpaka kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa msururu wa makongamano, mikutano, semina, na amali pana za kuinua ufahamu wa Waislamu kwamba Umma wa Kiislamu lazima uyasukuma majeshi kusonga ili kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wa wauaji wahalifu.

Jumanne, 28 Jumada I 1445 H sawia na 12 Disemba 2023 M

- Mji wa Sanliurfa -

Mkutano Mkubwa pamoja na Mashirika ya Kiraia

Na mkutano katika Kipindi cha Runinga kwenye Kituo cha ORFA pamoja na ndugu wawili

Ustadh Abdullah Imamoglu na Dkt. Abdul Rahim Shan

Jumamosi, 04 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 18 Novemba 2023 M

- Mji wa Sanliurfa -

Kongamano la Halaiki Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Jumapili, 05 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 19 Novemba 2023 M

- Mji na Van -

Mkutano Mkubwa na Mashirika ya Kiraia

Jumamosi, 11 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 25 Novemba 2023 M

- Mji na Van -

Kongamano la Halaiki Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Jumamosi, 11 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 25 Novemba 2023 M

- Mji na Ankara -

Semina "Siku ya Kimataifa ya Wanawake Kuchukua Hatua kwa ajili ya Palestina"

Kwa kushirikiana na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kuinusuru na Kuiombea Nusra Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Jumapili, 12 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 26 Novemba 2023 M

- Mji wa Ankara / Eneo la Akyurt –

Kongamano la Halaiki Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Jumapili, 12 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 26 Novemba 2023 M

- Mji wa Bitlis / Eneo la Tatvan -

Kongamano la Halaiki Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Jumapili, 12 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 26 Novemba 2023 M

- Jiji la Istanbul / Eneo la Çekmeköy -
Kongamano la Halaiki Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Jumapili, 19 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 03 Disemba 2023 M

- Mji wa Adana -

Kisimamo na Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Ijumaa, 24 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 08 Disemba 2023 M

- Mji wa Diyarbakir -

Kisimamo na Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Ijumaa, 24 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 08 Disemba 2023 M

- Mji wa Gazientep -

Kisimamo na Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Ijumaa, 24 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 08 Disemba 2023 M

- Mji wa Mersin -

Kisimamo na Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Ijumaa, 24 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 08 Disemba 2023 M

- Mji wa Van -

Kisimamo na Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Ijumaa, 24 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 08 Disemba 2023 M

- Mji wa Ankara -

Kisimamo na Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Jumapili, 26 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 10 Disemba 2023 M

- Mji wa Aydin -

- Mji wa Diyarbakır -

Mkutano pamoja na Wanahabari, Vyama vya Kisiasa na Wawakilishi kutoka Mashirika ya Kiraia

Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina inayokaliwa kimabavu

Jumamosi, 10 Jumada Al-Akhir 1445 H - 23 Disemba 2023 M

- Mji wa Adana -

Kongamano kubwa la kuinusuru Palestina

Kichwa "Hatutaisahau Palestina!"

Jumamosi, 22 Rajab Tukufu 1445 H sawia na 03 Februari 2024 M

- Mji wa Gaziantep -

Kongamano kubwa la kuinusuru Palestina

Kichwa "Hatutaisahau Palestina!"

Jumapili, 23 Rajab Tukufu 1445 H sawia na 04 Februari 2024 M

- Mji wa Hatay / Antakya -

Kongamano kubwa la kuinusuru na kuiombea Nusra Palestina

kwa Kichwa "Kamwe Hatutaisahau Palestina!"

Ijumaa, 06 Sha’aban 1445 H sawia na 16 Februari 2024 M

- Mji wa Mersin -

Kongamano kubwa la kuinusuru na kuiombea Nusra Palestina

kwa Kichwa "Kamwe Hatutaisahau Palestina!"

Jumapili, 08 Sha’aban 1445 H sawia na 18 Februari 2024 M

- Mji wa Yalova -

Maandamano makubwa na Amali ya kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuinusuru na kuiombea Nusra Palestina

kwa Kicha "Gaza inakufa... Bomoeni Kuta na Mufungue Vivuko!"

Jumapili,  08 Sha’aban 1445 H sawia na 18 Februari 2024 M

- Jiji la Ankara -

Kongamano kubwa la kuinusuru Palestina

lenye kichwa “Kamwe Hatutaisahau Palestina!”

Ijumaa, 13 Sha'aban 1445 H sawia na 23 Februari 2024 M

- Mji wa Antalya -

Kongamano kubwa la kuinusuru Palestina

lenye kichwa “Kamwe Hatutaisahau Palestina!”

Jumamosi, 14 Sha'aban 1445 H sawia na 24 Februari 2024 M

- Mji wa Izmir -

Kongamano kubwa la kuinusuru Palestina

lenye kichwa “Kamwe Hatutaisahau Palestina!”

Jumapili, 15 Sha'aban 1445 H sawia na 25 Februari 2024 M

- Jiji la Istanbul -

Kisimamo cha Usiku na Amali ya Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina kwa kichwa:

“Gaza Inakufa … Bomoeni Kuta na Fungueni Vivuko!”

Jumatatu, 16 Sha’aban 1445 H sawia na 26 Februari 2024 M

- Mji wa Wan / Tetouan / Bitlis -

Amali ya Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Matembezi ya Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Kwa Kichwa “Gaza Inakufa... Bomoeni Kuta na Mufungue Vivuko!”

Ijumaa, 20 Sha’aban 1445 H sawia na 01 Machi 2024 M

- Mji wa Konya -

Kongamano Kubwa la Kuinusuru na Kuiombea Nusra Palestina

Kwa Kichwa “Gaza na Mustakbali wenye Bishara Njema!”

Jumapili, 29 Sha’aban 1445 H sawia na 10 Machi 2024 M

Alama Ishara za Amali Hizi

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu