Jumamosi, 14 Muharram 1446 | 2024/07/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Maandamano ya Usiku ya Kupinga Mauaji ya Kinyama huko Rafah!

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi saba, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 120,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa maandamano makubwa ya usiku katika maeneo 25 ya Uturuki kupinga mauaji ya kinyama haswa mjini Rafah.

Maandamano hayo yaliyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Jumatatu, 19 Dhu al-Qa’adah 1445 H sawia na 27 Mei 2024 M

Click to enlarge image Adana-1.jpg

Click to open image!

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu