- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Kongamano la Diyarbakir “Urithi wa Sheikh Said al-Kurdi”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 99 ya kuuawa shahidi Sheikh Said Biran al-Kurdi, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano lililopewa kichwa la “Urithi wa Sheikh Said” katika ukumbi wa mikutano wa Msikiti wa Salah al-Din al-Ayyubi mjini Diyarbakir.
Katika siku kama hizi, Waislamu wanyoofu humrehemu Mujahid Sheikh Said Biran Effendi na marafiki zake ambao waliuawa shahidi pamoja naye kwa maamuzi ya mahakama huru za kisekula mnamo 29 Juni 1925.
Hotuba za kongamano hilo zilihusu mapinduzi ya Sheikh Said al-Kurdi na marafiki zake dhidi ya Mustafa Kamal, ambaye alinyakua mamlaka ya Umma wa Kiislamu na kukomesha ubwana wa Sharia sahihi kwa kukomesha mfumo wa Khilafah na badala yake kuweka mfumo wa kisekula ( usio na dini) wa kikafiri, iliobidi apigwe vita kwa upanga ili kurudisha bwana kwenye Sharia na mamlaka kwa umma, kwa hivyo yeye na marafiki zake walipata kifo cha kishahidi, tunawadhania hivyo ila hatumtakasi yeyote kwa Mwenyezi Mungu.
Jumamosi, 23 Dhu al-Hijjah 1445 H sawia na 29 Juni 2024 M
https://hizbut-tahrir.info/sw/index.php/dawah/uturuki/4084.html#sigProIde0ca9ee7cc
Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki