Mpango wa Khalilzad sio Kuleta Amani bali ni Kuisalimisha Taliban!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 3 Februari 2020, katika kipindi cha mkutano uliofanyika na waandishi wa habari nchini Uzbekistan,
Mnamo 3 Februari 2020, katika kipindi cha mkutano uliofanyika na waandishi wa habari nchini Uzbekistan,
Wiki kadhaa zilizopita mvua nyingi iliweza kunyesha nchini na vyombo vya habari vimeripoti kuzidi kwa hali mbaya na vifo nchini kote ikijumuisha maeneo ya Kati, Pwani na Kaskazini mashariki huku wajuzi wakitoa ilani ya kukithiri kwa hali mbaya.
BBC iliripoti kuhusiana na kupambamoto kwa janga la Rohingya huku idadi ya wanaotarajiwa kushtakiwa dhidi ya serikali ya Myanmar ikiwasilishwa katika mahakama za kimataifa na Venezuela na Gambia.
Viongozi wa Serikali zaidi ya 40 wa nchi za Afrika walihudhuria Kongamano la kwanza baina ya Afrika na Urusi katika mji wa Sochi.
Mtoto wa miaka 9 wa Syria kwa jina Wael al-Saud, aliyekuwa anaishi katika wilayah ya Kocaeli’s Kartepe, alijitoa uhai kwa kujinyonga katika mlango wa makaburi.
Viongozi wa dunia waliomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwa Robert Gabriel Mugabe aliyefariki huko Singapore mnamo 6 Septemba 2019 akiwa na umri wa miaka 95.
Rais Uhuru Kenyatta mnamo Jumatatu asubuhi, alizindua rasmi usafirishaji wa mapipa 200,000 ya kwanza kutoka Kenya.
Mmoja kati ya waathiriwa sita wanao languliwa kwa ajili ya kufanyishwa kazi kwa lazima, dhulma ya kimapenzi na sababu nyinginezo kama vile omba omba nchini Kenya ni mtoto, shirika la uchunguzi la ‘Nation Newsplex’ limefichua.
Mnamo Jumatano, 26 Juni 2019, Charles Njagua Kanyi, Mbunge wa Kenya Eneo Bunge la Starehe wa chama tawala cha Jubilee alikamatwa kwa mashtaka ya kuchochea ghasia kutokana na matamshi yake ya ubaguzi wa kitaifa dhidi ya
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU) mjini Nairobi ulizindua ubalozi mpya ukiifanya Kenya kuwa ndio ujumbe wake wa kigeni wa pili kiukubwa duniani baada ya ulioko mjini London.