Jumamosi, 21 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV

Abdullah ibn Abbas (r.a) – Hazina ya Kifua cha Elimu!

Anajulikana kwa elimu yake, uelewa na busara, Abdullah ibn Abbas (r.a) alikuwa Mufassir mkubwa na msomi wa fani zote za Dini. Lakini je, elimu hutafutwa bila hitajio au muktadha? Umar (ra) kumwita ibn Abbas (r.a) kujadili na kutatua matatizo ya wakati wao inaonyesha jinsi gani elimu katika Uislamu inavyotumika katika kusuluhisha matatizo ya watu - ambayo hivi leo wanadamu wanakabiliwa nayo mengi!

Jumapili, 03 Rajab 1440 H sawia na 10/03/2019 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 23 Aprili 2020 13:17

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu