Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Ugawanyaji Matoleo dhidi ya Muundo wa Makubaliano!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ndani ya wigo wa kampeni ya kukataa muundo wa makubaliano unaoanzisha maisha ya Sudan juu msingi wa itikadi ya Magharibi Kafiri na kuondosha zile zilizobakia katika hukmu za Uislamu kutoka katika maisha na mujtamaa, na kwa kuitikia amri ya Mwenyezi Mungu (swt) ya kukemea maovu