Alhamisi, 17 Safar 1446 | 2024/08/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ili Kuthibitisha Utiifu wake kwa Mkruseda Marekani, Serikali ya Hasina imekuwa ikiwakamata na kuwatesa Watetezi wa Khilafah Rashida na Inapigana Vita dhidi ya Dini ya Uislamu

Katika muendelezo wa mateso ya kimfumo dhidi ya wale wanaobeba Da'wah ya Uislamu na Khilafah, mnamo tarehe 14 Mei, 2024, majambazi wa vikosi vya serikali walimkamata Hedayet Hosen (umri wa miaka 57) - mtetezi wa ulinganizi wa kusimamishwa tena Khilafah Rashida, na wakati wa kuhojiwa rumande walimtesa kiasi kwamba alilazimika kulazwa hospitalini

Soma zaidi...

Mashujaa wa Utawala wa Misri Hawaelekezwi Dhidi ya Umbile la Kiyahudi Badala yake Unaendelea na Juhudi zake katika Kuzingira, Kunyima Chakula, na Kuua Watu wa Gaza!

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliitaka Misri mnamo siku ya Jumatano kufanya kila iwezalo kuhakikisha mtiririko wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Wakati huo huo, Cairo ilieleza kuwepo kwa chama cha Kipalestina katika kivuko cha Rafah ili kupokea msaada huo.

Soma zaidi...

Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala Anataka Kuipeleka wapi Sudan?!

Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Mpito na Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, alisema kuwa vita vya Sudan bado viko katika hatua za awali. Al-Burhan, wakati akitoa salamu za rambirambi kwa mauaji ya afisa mmoja wa jeshi la Sudan, aliapa kuviandama Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na kuregesha haki za watu wa Sudan.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu