Hizb ut Tahrir / Malaysia Yazindua Kampeni "Uislamu Kaffah Chini ya Khilafah"
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) liliripoti moto mkali katika kituo cha matibabu cha COVID-19 katika kambi ya Cox's Bazar nchini Bangladesh, ambayo huhifadhi wakimbizi wanaokimbia kutoka Myanmar, mnamo Jumapili alasiri, 9/1/2022.
Watoto watatu walifariki katika kambi za wakimbizi kufuatia dhoruba kali za msimu wa baridi nchini Syria na nchi jirani.
Hatua za pamoja za chama ndiyo njia pekee ya kuleta mabadiliko yoyote katika jamii. Mfano wetu na kiigizo chetu, Muhammad (saw) alianzisha jambo hili.
Katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa Amerika Joe Biden alisema kuwa Afghanistan haiwezi kuunganishwa chini ya serikali moja, na ndiyo maana ardhi hii imegeuka kuwa makaburi ya himaya.
Imarati ya Kiislamu ilifanya Kongamano la Kiuchumi la Afghanistan ambapo wawakilishi wa nchi 20 walihudhuria ana kwa ana huku wengine 40 wakijiunga mtandaoni.
Mnamo tarehe 19/1/2022, Waziri Msaidizi wa Mambo ya Nje wa Amerika anayeshughulikia Masuala ya Afrika, Molly Phee, na mjumbe wa Rais wa Amerika katika Pembe ya Afrika, David Satterfield, waliwasili nchini Sudan.
Kwa kujisalimisha kikamilifu kwa Qadhaa na Qadar ya Mwenyezi Mungu (swt), Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, ambaye alitumia ujana wake kubeba ulinganizi wa kurudisha tena maisha kamili ya Kiislamu, kwa kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, aliye samehewa kwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt):
Seneta wa Meru anakabiliwa na mashtaka ya madai ya matamshi ya uchochezi aliyoyatamka kwenye mkutano wa kisiasa wa naib rais William Ruto huko Eldoret.