Urasilimali na Chakula Mgogoro wa Chakula ni wa Kutarajiwa katika Mfumo wa Kirasilimali Sehemu ya 1: Uhalisia wa Mgogoro wa Chakula
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
“Tunasikitishwa sana na jinsi vita vya Putin nchini Ukraine vimekatiza pakubwa silsila za usambazaji za kimataifa za chakula na kilimo, na tishio vinavyoleta kwa usalama wa chakula duniani. Tunatambua kuwa nchi nyingi duniani zimekuwa zikitegemea chakula na pembejeo za mbolea kutoka Ukraine na Urusi, huku uchokozi wa Putin ukivuruga biashara hiyo.” (Taarifa ya Pamoja ya Ikulu ya White House ya Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa Muungano wa Ulaya Ursula von der Leyen)