Sura Mpya katika Kampeni ya Marekani ya Kulazimisha Utawala wa Umbile la Kiyahudi juu ya Ardhi za Waislamu
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mfululizo wa operesheni za siri za hali ya juu wiki hii, maelfu ya wanachama wa Hezbollah nchini Lebanon walilengwa katika kile kinachoaminika kuwa shambulizi la kijasusi linaoongozwa na Mossad, kuashiria awamu mpya katika vita vya Kiyahudi.