Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 29 Rajab 1446 | Na: HTS 1446 / 44 |
M. Jumatano, 29 Januari 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Ummah
(Imetafsiriwa)
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tunafuraha kuwaalika wanataaluma wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Ummah cha kila mwezi, ambao mwezi huu kimepewa kichwa:
Sera ya Trump kwa Mashariki ya Kati… na Hasa Sudan
Wazungumzaji kwenye Mkao:
1. Ustadh Hatem Jaafar, Wakili, Mjumbe wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan
2. Ustadh Faqir Hajj Mohammed Ahmed, Wakili, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir
Mwendesha kikao: Ustadh Ibrahim Musharraf, Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Sudan
Tarehe na Wakati: Jumamosi, 2 Sha'aban 1446 H sawia na 1 Februari 2025 M saa 13:00 Adhuhuri
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan – Port Sudan – Wilaya ya Al-Azama – Mashariki mwa Uga.
Uwepo wenu ni heshima kwetu, kwani unaakisi kujitolea kwenu kwa masuala ya Ummah wenu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |