Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Mkutano na Wanahabari kuhusu Sera ya Adhabu ya Serikali kwa Hizb ut Tahrir
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Alhamisi, 01/06/2023, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu yake huko Ariana chini ya kichwa: "Sera ya adhabu ya serikali kwa Hizb ut Tahrir: Je, ubaguzi utaendelea hadi lini?"