Ushindi kwa Ujumbe wa Uislamu Kimataifa
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Ijumaa, 19 Januari 2024, Waziri wa Usalama, Tom Tugendhat alitia saini kuwa agizo la kuipiga marufuku Hizb ut Tahrir nchini Uingereza kama shirika la kigaidi. Hiyo ni baada ya Bunge la Uingereza kuidhinisha agizo kielelezo lililowasilishwa mnamo Jumatatu, 15 Januari 2024.