Mpango wa Salahudin wa Kuikomboa Palestina
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Salahudin aliyezaliwa 1137 nchini Iraq, aliibuka kuwa maarufu kipindi cha zahama wakati ardhi za Waislamu zilipokuwa zimesambaratika na kuwa chini ya mwavuli wa Makruseda wavamizi. Alipochukua uongozi Misri mnamo 1169, alianzisha misheni ya kuimarisha Dola ya Khilafah na kuunganisha maeneo kadhaa ya Kiarabu.