Trump na Kongamano la Shirika la Kujihami la NATO
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kongamano la NATO lilifanywa jijini Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji na makao makuu ya Muungano wa Ulaya, mnamo 11 na 12/7/2018. Lilihudhuriwa na raisi wa Amerika na viongozi wa nchi 29 wanachama wa muungano huo.