Ni Kipi Kilicho Nyuma ya Kukola Moto na Uchokozi wa Ukraine kwa Urusi
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Raisi wa Ukraine, Petro Poroshenko, aliliambia lishirika la habari la American Fox News: “Urusi imeanzisha vita vikali dhidi ya nchi yake pindi walinzi wake wa mipakani walipozisimamisha manuari za Ukraine katika mkondo wa Kerch, unaounganisha Bahari Nyeusi na Bahari ya Azov.”