Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
Chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa, Ata bin Khalil Abu al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,
Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,
Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,
Kenya: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Amerika: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Pakistan: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Afisi Kuu ya Habari: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah 1442 H - 2021 M
Mwezi wa Rajab mwaka huu ni kumbukumbu ya tukio la kusikitisha katika historia ya Ummah wa Kiislamu, miaka 100 ya Hijria tangu kuanguka kwa dola yake tukufu na uongozi wake wa Kiislamu: Khilafah mikononi mwa adui wa Uislamu Mustafa Kemal na serikali za kikoloni za Magharibi.