Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali “Ijumaa – Majeshi kwenda Al-Aqsa”

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linachoendelea na kudumu katika shambulizi lake linaloendelea kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu wa Ukanda wa Gaza ambao umekuwa ikiendelea kwa miaka 17, Hizb ut Tahrir / Wilayah wa Uturuki inaandaa amali pana katika kiwango cha Uturuki chini ya kichwa:

“Ijumaa – Majeshi kwenda Al-Aqsa”

Kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuyaomba nusra majeshi ya Waislamu kuvunja pingu ambazo watawala Ruwaybidah wamewafunga kwenye kambi zao ili waweze kusonga mara moja kunusuru (Kimbunga cha Al-Aqsa) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka kwa makucha ya Mayahudi wanyakuzi.

Basi kuweni pamoja nasi na mshiriki thawabu na sisi, na Mwenyezi Mungu atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Ijumaa, 05 Rabi’ Al-Akhir 1445 H sawia na 20 Oktoba 2023 M

- Alama Ishara za Amali -

#Al-Aqsa Flood

#Armies_to_the_Aqsa

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdinaryAksaya

#Al-Aqsa_crying_armies

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludesigim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu