Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 272
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 272
Vichwa Vikuu vya Toleo 272
Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani, amesema katika jukwaa la kiulimwengu la kiuchumi lililofanyoka Davos, kwamba serikali ya Afghan haitapata matatizo baada ya vikosi vya kigeni kujiondoa kutoka nchini humo; hata hivyo, kama mazungumzo yataendelea na Taliban badala ya serikali yake, vita vitachukua awamu nyingine.
Vichwa Vikuu vya Toleo 271
Vichwa Vikuu vya Toleo 270
Vichwa Vikuu vya Toleo 269
Vichwa Vikuu vya Toleo 268
Vichwa Vikuu vya Toleo 267
Al-Jazeera imeripoti kwamba wanajeshi watatu wa India waliuawa kwa silaha zilizorushwa kutoka upande wa Kashmir, wakati Pakistan imetangaza kufariki kwa wanajeshi wake wawili na mwengine kujeruhiwa na makombora kutoka India, katika mstari wa udhibiti unaotenganisha pande mbili hizo.
Uingereza kwa muda mrefu imekuwa katika kilele cha kutawala kiasi kwamba jua halikuchwa na kileleni mwake taifa hili la kisiwa lilitawala zaidi ya asilimia 25 ya watu duniani.
Vyombo vya habari vimeripoti kushikwa kwa Mukhtar Robow "Abu Mansur" siku ya Alhamisi, 13 Disemba 2018 akiwa katika mkutano wa kawaida ulioitishwa na rais mshikilizi wa Jimbo la Kusini Magharibi ya Somalia mjini Baidoa.