Barua ya Wazi Kutoka kwa Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan hadi kwa Serikali ya Mpito Jinsi Gani Uduni Wenu Umekufikisheni Kumfungulia Kafiri Mkoloni Ngome ya Mwisho ya Uislamu; Familia?!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kutia saini Baraza la Mawaziri juu ya kuondolewa vipingamizi vya hapo awali kwa Mkataba wa Afrika juu ya Haki na Ustawi wa Mtoto; Ambao umejengwa juu ya hadhara ya Kimagharibi