Tanzia ya Wabebaji Ulinganizi Wawili
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir katika Wilayah ya Jordan anamuomboleza mbebaji da'wah, Hajj Zaidan Abdel Fattah Masoudi (Abu Tayseer Masoudi), ambaye alikwenda katika rehema ya Mwenyezi Mungu (swt) akiwa na umri wa miaka 84 ambao aliutumia katika kumtii Mwenyezi Mungu na kubeba ulinganizi wa kurudisha tena maisha ya Kiislamu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Katika siku za hivi karibuni, watu walifuatwa na msururu wa matukio yaliyoanza Jumamosi 4/3/2021, yakidai kwamba usalama na utulivu wa serikali umefichuliwa kwa njama, ambayo ilisababisha kampeni ya ukamataji na kutolewa kwa taarifa zilizoambatana na kuibuka kwa uvujaji na kisha watu wa katikati.
Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Jordan anamuomboleza mtu katika ya watu wake bora, mbebaji Dawah, Haj Abdelrahman Husain (Abu Maher), ambaye alikwenda katika rehma za Mwenyezi Mungu Azza wa Jal mnamo Alhamisi akiwa na umri wa miaka 87 baada ya maisha ambayo aliyatumia katika kumtii Mwenyezi Mungu (swt)
Kwa kujisalimisha kwa amri ya Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala na kuridhika na Qadhaa Yake, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Jordan inaomboleza kwa Umma wa Kiislamu kwa jumla, na kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al- Rashtah, na kwa Shabab wa Hizb ut Tahrir haswa, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, mbebaji mahiri wa Da'wah na mwanasiasa mkuu, Sheikh Yaseen Yousuf Zalloum (Abu Ammar), mmoja wa wanachama wa kizazi cha kwanza cha Hizb ut Tahrir, na kaka wa Amiri wa pili wa Hizb ut Tahrir,
Jioni ya Jumapili, 21/03/2021, Huduma za Usalama za serikali nchini Jordan zilimkamata Ustadh Adel Sarsour kutoka nyumbani kwake na kisha kumpeleka hadi kituo cha usalama,
Siku tatu zilizopita, vikosi vya usalama vya serikali nchini Jordan vilimkamata Ndugu Muhammad Al-Gharabli, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, kazini kwake.
Chini ya uangalizi wa Waziri wa Wakfu na Masuala ya Matukufu ya Kiislamu, Dkt Muhammad Al-Khalayleh, vitivo vya Sharia katika vyuo vikuu vya Jordan, kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ), watafanya kongamano la kwanza kwa wanafunzi wa vitivo vya Sharia katika vyuo vikuu vya Jordan chini ya anwani: "Uhalisia wa maji nchini Jordan ... Changamoto na Masuluhisho kutoka kwa Mtazamo wa Kiisilamu." Ambalo litafanyika kwa kutumia programu ya Zoom mnamo Jumamosi tarehe 12/12/2020.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Jordan inaomboleza kwa Umma jumla wa Kiislamu, Ndugu Jihad Abdulqadeem Zalloum, mmoja wa mashababu wa Hizb ut-Tahrir, na mtoto wa Amiri wetu na Sheikh aliyetangulia,
Uhalifu wa kushambuliwa kwa kijana wa Zarqa ulitikisa hisia za jamii nchini Jordan kutokana na kuogofya kwake na kutokea kwake mchana kweupe uliofanywa na genge la wahalifu ambalo limezoea kufanya uhalifu mbele ya vyombo vya usalama na mahakama,