Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Ndugu Erkam Kılıçkaya
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ambaye alijitolea maisha yake kama Muislamu mkweli na mwenye ikhlasi katika kazi ya kurudisha mfumo kamili wa maisha ya Kiislamu, na pia aliyahitimisha katika da’wah. Pia, Erkam Kılıçkaya, ambaye alikuwa anaugua matatizo ya kiafya kwa miaka mingi, alikuwa na subira na maradhi haya na hakusita kubeba da’wah.