Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 445
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Juni 2023 M.
Australia inatarajiwa kumkaribisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa ziara ya siku tatu kuanzia leo. Hii ni ziara ya pili ya Modi nchini Australia tangu alipokaribishwa mara ya kwanza mnamo 2014.
Waziri Mkuu Anthony Albanese alisema katika Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo: "Ninafurahi kuwa mwenyeji wa Waziri Mkuu Modi kwa ziara rasmi nchini Australia, baada ya kupokea makaribisho mwanana nchini India mapema mwaka huu."
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir nchini Australia inaomboleza kuondokewa na mmoja wa wanaume ambaye alikuwa akipendwa sana na Waislamu kwa jumla na hasa wabebaji da’wah (Mwenyezi Mungu amrehemu):
Ndugu Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)
Lengo ambalo Waislamu wanalo kwa kila mtu juu ya matendo yao ni katika kutaka Radhi za Mwenyezi Mungu (swt) na si chengine. Tunapofunga mwezi wa Ramadhan, tunapotekeleza Swala, kutafuta elimu ya Dini, kuamrisha mema na kukataza maovu, kuhukumu kwa Uislamu, kupigana Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu (swt), kuhifadhi maisha ya wanadamu, kuwalea watoto wadogo wasiojiweza, kuwahudumia wazee...
Hizb ut Tahrir / Uholanzi ilifanya semina katika mji wa Utrecht wa Uholanzi kwa anwani "Vipaumbele vya Umma"
Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia kimezindua kampeni pana yenye kichwa:
“Usekula Unawahadaa Watoto Wetu na Wokovu wao uko Mikononi Mwetu”
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa kisimamo cha halaiki katikati mwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, ambapo kupitia kwacho ilitoa wito kwa majeshi ya Umma wa Kiislamu kujibu hujma ya Mayahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuchafuliwa kwake, na kupandisha bendera ya umbile lao liliopotoka katika viwanja vyake na matusi yao kwa Mtume (saw).