Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan inafurahi kuwaalika kuhudhuria kikao cha Kadhia za Ummah, na ni heshima kwake kushiriki kwenu ndani ya mkusanyiko wa wanasiasa, wanahabari, na watu wa maoni,
Mmoja wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mji wa El Obeid; ambaye iliubeba ulinganizi huu licha ya ugonjwa wa kisukari, ambao alisababisha kukatwa kwa sehemu ya mguu wake, na pia kusababisha nuru ya macho yake kupungua, na haya yote hayakumvunja moyo kuubeba ulinganizi huu, na kuipenyeza popote alipokuwa.
Jana, Jumanne, 15/09/2020, Amina Aqareb; Msimamizi wa Mambo ya Ubalozi wa Sudan jijini Washington, na Naibu Balozi alishuhudia kutiwa saini kwa Imarati na Bahrain pamoja na umbile la Kiyahudi Mkataba wa Khiyana Kubwa kwa Palestina
Mnano siku ya Jumatatu 31/08/2020 M; serikali ya mpito ilitia saini huko Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini, makubaliano yaliyoitwa makubaliano ya amani na Chama cha Mapinduzi,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iliandaa kisimamo cha kupinga, mchana wa siku ya Jumanne, 6 Muharram 1442 H sawia na 25/8/2020 M katikati mwa mji mkuu wa Khartoum,
Ripoti moja iliyo tolewa na Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Raia limefichua uharibifu mkubwa katika baadhi ya maeneo nchini Sudan, kutokana na mvua iliyo nyesha katika siku zilizopita.
Kwa nyoyo zilizo jaa imani na kukubali Qadhaa ya Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta’ala, na kwa macho yaliyo jaa machozi, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan inamuomboleza aliye samehewa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu:
Waziri wa Haki wa Sudan Nasruddin Abdel-Bari amefichua maelezo mapya kuhusu sheria ya mabadiliko tofauti tofauti, ambayo itachapishwa katika gazeti rasmi la serikali siku ya Jumapili 12/7/2020,
Kwa macho na nyoyo zilizojawa na machozi zilizo ridhia qadhaa ya Mwenyezi Mungu, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan inaomboleza msamaha kwa Sheikh (kwa idhini ya Mwenyezi Mungu):