Wajumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Walikutana na Naibu Katibu wa Kwanza wa Wizara ya Habari na Utamaduni
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wajumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan walikutana na Ustadh Ar-Rashid Saeed Yaqoub, Naibu Katibu wa Kwanza wa Wizara ya Habari na Utamaduni, na aliyepewa jukumu la mkurugenzi wa Mamlaka ya Kitaifa ya Redio na Runinga katika afisini mwake mnamo Jumatatu 06/01/2020.