Enyi Waislamu! Je, Haijatosha kwamba Mumekaa Karne Moja bila ya Khilafah?!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Khilafah, iliyowaunganisha Waislamu na iliyokuwa ngao ya ulinzi ya Ummah, ilivunjwa mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, sawia na Machi 3, 1924, na nchi za Magharibi zikiongozwa na Uingereza na kwa msaada wa vibaraka wao wa ndani.