Msikiti wa Al-Aqsa: Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M
Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M
Ujumbe wa Dkt. Nazreen Nawaz kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan 1444 H
Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, Aliyetufaradhishia kufunga mwezi wa Ramadhan na kuifanya kuwa ni miongoni mwa nguzo za Uislamu, na rehma na amani zimshukie yule aliye teremshiwa Qur’an Tukufu katika mwezi mtukufu, kama uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uongofu na upambanuzi, bwana wetu Muhammad na jamaa zake na maswahaba wake wote.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inaandaa kongamano lake la kila mwaka kwa mwaka huu chini ya kichwa:
“Ombwe la kisiasa nchini Bangladesh: suluhisho pekee ni kuregesha Khilafah”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa, amali za maandamano na matembezi katika miji na vijiji kadhaa kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 12 ya Mapinduzi Yaliyobarikiwa ya Ash-Sham
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yafanya mjadala na Dkt. Nazreen Nawaz, Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kuhusiana na Sheria ya Kiislamu ya Urathi.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki itaandaa kongamano la kimataifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Dola ya Khilafah, kwa ushiriki mpana chini ya kichwa:
“Kuvunjwa kwa Khilafah… Janga Kuu la Karne!”
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan ukiongozwa na Ustaadh Nasir Ridha - Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan, akifuatana na Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil), Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inamuomboleza mmoja wa Mashababu wa Hizb, marehemu mbebaji dawah, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt)
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa kisimamo katika Gaza Hashim, kuyahamasisha majeshi ya Kiislamu kuwapindua watawala wasaliti na kusimamisha dola Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume